EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ngao ya Hisani anacheza Simba A na Simba B
Maana tunamakombe yote Uto tushawabeba kimataifa kaeni kwa kutulia
Maana tunamakombe yote Uto tushawabeba kimataifa kaeni kwa kutulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyani yenye big brain yamechachamaa kunyonya rombo ya mnyama,kila linyani linataka ndio liwe la kwanza kunyonya rombo!!nyie jipangeni vizuri rombo ya mnyama iko vizuri msigombane kila mtu atanyonya rombo..acha waanze nyani wa fm radio,watafata nyani wa kwenye insta,wakitoka wa insta watafata wa magazeti,wakitoka wa magazeti watafata nyani wa humu jf,chuma kiko imara kila mtu atanyonya.Small mind
Small mind with empty brainManyani yenye big brain yamechachamaa kunyonya rombo ya mnyama,kila linyani linataka ndio liwe la kwanza kunyonya rombo!!nyie jipangeni vizuri rombo ya mnyama iko vizuri msigombane kila mtu atanyonya rombo..acha waanze nyani wa fm radio,watafata nyani wa kwenye insta,wakitoka wa insta watafata wa magazeti,wakitoka wa magazeti watafata nyani wa humu jf,chuma kiko imara kila mtu atanyonya.
Linyani lenye full brain limechachamaaSmall mind with empty brain
Hata kama ni hivo lakin kumbuka hakuna uwekezaji unaozaa faida kwa miaka 4 .Tuwe wavumilivu Simba itaanza kupata faida ikipota miaka kumi.sasa tatizo linakuja watu vitu vya kiuchumi wanaleta masihara.Vip Uliona wapi unaanzisha biashara siku hiyohiyo unapata faida?kwa mawazo yangu Bora tungekua tunatoa ushauli nini kifanyike kwa vilabu vyetu ili vikue kiuchumi manake timu ikiwa vizuri kiuchumi automatically itafanya vizuri uwanjani.Sorry kama umeuzikaMsingi wa hoja yako upo wapi?
No mercy under capitalism
Uliwai kusikia mfanyabiashara gani anawekeza kwa hasara?
Wewe unamapenzi na simba wenzio wapo kimasilah unategemea mtaendana kimtazamo na utendaji?
MASWALI MATANO MUHIMU KWA WANASIMBA WENZANGUKuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Wezi kuku tu hao huku mtaaniHao wanaotaka kuona hiyo ela wanataka waifanyie nini?
Sasa washabiki wa Simba walikuwa wanarudi kinyume nyume matako wazi kwa Moo unategemea Muhindi yule awafanyeje!!???Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Sibishanagi na mataira kijana.Zumbukuku ni mama yako aliokuzaa kupitia mlango wa nyuma kenge wewe?! Miaka minne mnalialia hata kikombe cha kahawa hamjawahi kubeba,mmepagawa mpaka waarabu wamewalipia muwapelekee hizo nyaa wakawabust
Kwani hapa tumebishana nimekupa ukweli wako,watoto mliopitia mlango wa nyaa,uwa mna matusi na kebehi sana,unatoa matusi ya jumla bila kujali wengine ni baba zako humu!!anyway mimi sio tahira kama ukitaka kudhibitisha leta kinyeo chako icho kisicho kuwa na linda nipitishe mguu wa mtoto akili itakukaa sawa wewe gasho.Sibishanagi na mataira kijana.
Wasalimie mirembe...Kwani hapa tumebishana nimekupa ukweli wako,watoto mliopitia mlango wa nyaa,uwa mna matusi na kebehi sana,unatoa matusi ya jumla bila kujali wengine ni baba zako humu!!anyway mimi sio tahira kama ukitaka kudhibitisha leta kinyeo chako icho kisicho kuwa na linda nipitishe mguu wa mtoto akili itakukaa sawa wewe gasho.
Mimi nakupa hizo za ndani kabisa ambazo wewe hauna mkuu
Subiri mvua inyeshe ili tuone panapovuja
Sawa tusubiri mvua inyeshe, Tuone panapovuja
Eeeh! Muda ni mwalimu mzuriZa ndani wapi wewe? Huna ulijualo,usitufanye sisi watoto hapa! Unapaswa kufahamu unaongea na watu wenye akili zao wanaojitambua