Hali si shwari udsm

Hali si shwari udsm

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau,hali imezidi kuwa mbaya hapa udsm leo baada ya ving'ora vya police kutawanya wanafunzi wanaosemekana eti walikua wamemteka ofisa usalama wa taifa na kumpa kichapo..lolote linaweza kutokea hapa as hakuna shughuli yoyote ya kitaaluma inayofanyika.over
 
Kwanini walimuachia hivi hivi si wangem-gadaffi tu?

Nakuunga mkono mia kwa mia. Kama kibaka anayeiba simu anachomwa moto sembuse mshenzi anayewanyima haki ya elimu watoto wa wale ambao baba zao si viongozi wa CCM.
 
Aisee mngemchoma moto huyo usalama wa Taifa,hao ndiyo wanaosababisha nyie mkose haki zenu.
 
Usalama wa Taifa alijichanganya.Aliangusha kitambulisho wakati akijifanya anashiriki maandamano ya amani hapa UDSM.Aligongwa kisawasawa.Hata mimi nimeambulia..
 
hahahahahahahahahhah safi sana yeye anajifanya anazo pesa za kusoma. hamjamcameroon?
 
Usalama wa Taifa alijichanganya.Aliangusha kitambulisho wakati akijifanya anashiriki maandamano ya amani hapa UDSM.Aligongwa kisawasawa.Hata mimi nimeambulia..

Hahahaaaaaaaaa! safi sana, hata mie natamani ningekuwepo hapo. hiyo mijamaa mipumbavu sana, ilikuwa inatuharibia sana mambo yetu miaka ya 90 na 2000
 
Back
Top Bottom