Wadau,hali imezidi kuwa mbaya hapa udsm leo baada ya ving'ora vya police kutawanya wanafunzi wanaosemekana eti walikua wamemteka ofisa usalama wa taifa na kumpa kichapo..lolote linaweza kutokea hapa as hakuna shughuli yoyote ya kitaaluma inayofanyika.over
Nakuunga mkono mia kwa mia. Kama kibaka anayeiba simu anachomwa moto sembuse mshenzi anayewanyima haki ya elimu watoto wa wale ambao baba zao si viongozi wa CCM.
Usalama wa Taifa alijichanganya.Aliangusha kitambulisho wakati akijifanya anashiriki maandamano ya amani hapa UDSM.Aligongwa kisawasawa.Hata mimi nimeambulia..
Usalama wa Taifa alijichanganya.Aliangusha kitambulisho wakati akijifanya anashiriki maandamano ya amani hapa UDSM.Aligongwa kisawasawa.Hata mimi nimeambulia..