Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa

Nawa mikono mara kwa mara

Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo

Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.

MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
 
NAELEKEA mbexi hapa nimepishana na maiti nne zinapoenda sijui gafla nkafungua kabegi nkapiga kabaakoa kangu

maombi silaa tusikate tamaa
 
Baba askofu wetu anasikitika sana kuwatangazia vifo vya mapadre Emanuel Mushi na Simon Mkenda vilivyotokea alfajiri ya leo huko hospitali ya Mt. Joseph Soweto hapa DSM ambako walilazwa

Askofu ametoa tahadhari kwa mapadre wote kuchukua hatua dhidi ya covid 19 akieleza kuwa imerudi kwa kasi kubwa. Naomba niwatahadhari jamani GONJWA LA CORONA LIMEPAMBA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Tangu last week watu wanakufa sana.

Wanakufa sana wenye miili mikubwa. Kuna dada alikuwa mc last weekend mzima wa afya by Sunday kapata changamoto ya kupumua akafariki . Hii wave ya sasa hivi inachukua watu haraka haraka.

AVOID UNNECESSARY JOURNEYS
AVOID UNNECESSARY GATHERINGS
CHUKUA TAHADHARI
 
KKKT
Tulienda kuaga aunt yetu wiki iliopita kwa kushindwa kup. Tulipojuana na waumiini wa pale mmoja alisema sui atupendi kuingia ndan kaka ukweli kauluze mch. Wiki moja nanusu ameta ngaza watu saba wamekwenda.

Vyema kumtanguluza mungu na kujilinda pia nawa mikono epuka safari zisuzo za lazuma

Achana na mikusa nyiko isiyio na lazima

Hiili gonjwa sio kama ukimwi ukivaa condom unatoka unaringa

Tuwe makini tusali mara kwamara

Kemea roho za mauti ktk taifa letu mungu anahitaji mmoja tu kuokoa taifa zima nii na wewe
 
Mungu wetu ajawahi kushindwa tukimlilia na kutubu
 
Ukijisikia kichwa kinauma ovyo wahi kujifukiza kapime malaria ukiona kupumua akuko sawa Kama ujalamba dabo Kiki jipige nyunyu

Weka tangawizi ksaumu nk visikosekane kwako na malimao yakutosha

Ukiweza chai ya asbh jizoeeshe kunywa na malimaoo

#KAMAAGEIMESONGAUSISAHAUKUANDIKAUSIAMAPEMAA

AHSANTENI
 
Mapadri wanakumbwa sana na changamoto za upumuaji mpaka wanakufa,kulikoni?
 
St. Joseph Soweto Dar? Sidhani ni huko Moshi

Wapumzike kwa amani Mungu atuepushe kwa kweli
 
Una uandishi mbovu sana
 
St. Joseph Soweto Dar?Sidhani ni huko Moshi

Wapumzike kwa amani Mungu atuepushe kwa kweli
Nami nimejiuliza huyu bwana mdogo dar hakuna sehemu inaitwa soweto labda iwe hii mitaa mipya kwenye mini mipya huko kigamboni labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…