Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Ukijisikia kichwa kinauma ovyo wahi kujifukiza kapime malaria ukiona kupumua akuko sawa Kama ujalamba dabo Kiki jipige nyunyu

Weka tangawizi ksaumu nk visikosekane kwako na malimao yakutosha

Ukiweza chai ya asbh jizoeeshe kunywa na malimaoo

#KAMAAGEIMESONGAUSISAHAUKUANDIKAUSIAMAPEMAA

AHSANTENI
Ulikuwa umepanda boda wakati unaandika huu uzi?
 
Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa

Nawa mikono mara kwa mara

Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo

Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.

MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
Kule Kilimanjaro,kuna mazishi ya mapadre wawili wanazikwa Leo. Tatizo ni kupumua
 
Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa

Nawa mikono mara kwa mara

Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo

Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.

MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
 
Mbona mnamshambulia mtoa mada kama vile yeye ndo corona mwenyewe..?
 
Duuh,nilijua kazidiwa tu...kumbe kadanji kabisa..hili gonjwa linatisha
 
Nikisoma thread za hivi naanza kuhisi koo linawasha!
 
Back
Top Bottom