Ulikuwa umepanda boda wakati unaandika huu uzi?Ukijisikia kichwa kinauma ovyo wahi kujifukiza kapime malaria ukiona kupumua akuko sawa Kama ujalamba dabo Kiki jipige nyunyu
Weka tangawizi ksaumu nk visikosekane kwako na malimao yakutosha
Ukiweza chai ya asbh jizoeeshe kunywa na malimaoo
#KAMAAGEIMESONGAUSISAHAUKUANDIKAUSIAMAPEMAA
AHSANTENI
Kule Kilimanjaro,kuna mazishi ya mapadre wawili wanazikwa Leo. Tatizo ni kupumuaMwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa
Nawa mikono mara kwa mara
Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa
Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo
Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.
MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
Kuwa mpoleWewe vaa barakoa ila TUSITISHANE!
Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa
Nawa mikono mara kwa mara
Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa
Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo
Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.
MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
Jifukize huko#KAMAAGEIMESONGAUSISAHAUKUANDIKAUSIAMAPEMAA
AHSANTENI
Hawafanyi mazoezi....wamebwetekaMapadri wanakumbwa sana na changamoto za upumuaji mpaka wanakufa,kulikoni?
Mwendazake alikuwa Kama wewe, hatima yake Covid19 ikambeba mazimaaKwenda huko...
Nahuko kigamboni hakuna sehemu inaitwa sowetoNami nimejiuliza huyu bwana mdogo dar hakuna sehemu inaitwa soweto labda iwe hii mitaa mipya kwenye mini mipya huko kigamboni labda.
wanazoa kirusi pale kwenye foleni ya dirisha la maungamo na sakramenti,hiyo angle ni hatari sana kwao wasipostukaMapadri wanakumbwa sana na changamoto za upumuaji mpaka wanakufa,kulikoni?
Haa wapi,uwenda wamedungwa chanjo kimyakimya.Hawafanyi mazoezi....wamebweteka
Kumbe inayoitwa chanjo ndio inayoua? Mbona hatariHaa wapi,uwenda wamedungwa chanjo kimyakimya.