Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
- #21
Lakini Uhuru akishinda kesi hii atashinda na Urais
Mkuu kesi haitoamuliwa mwaka huu. Kwa hivyo kura za urais zitapigwa huku kesi inaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Uhuru akishinda kesi hii atashinda na Urais
My question is where does besnouda collect her evidence, are they extracting evidence from witnesses or are they trying to conduct their trial around manufuctured evidence?
Pssst....look at what your Govt under Kibaki is doing...why shield Kapondi and PC's from this lady. The same was done when Ocamppo was in town. Dont you think that is strange after the President corporation with the ICC and then turn around and stall the process?...alafu nd'o watu kama nyinyi mnasema she is manufacturing evidence. How convinient for the Big fish yet more than 1,000 souls are 6 feet under, their blood crying for justice
Wewe morio, the evidence at the ICC is overwhelmingly coming from the NSIS...especially the sh!t that will
rope Ruto in....courtesy of the Waki report that was given to Annan and found its way to the OTP.
Acha kujifanya hujui hio kitu!
Then the other day Bensouda came to Kenya herself to go see the Kiambaa church and talk to the victims.
What is shrouded in mystery there?
That Kiambaa thing was pure murder and everybody was shocked at the level of evil exhibited by the
murderers who burnt people in a church!!!!...Ruto hawezi kuepuka "command and control" of the fellows
who carried out the attack. That's why the murder charges were upgraded and tightened.
As for your blue eyed boy, Uhuru Kenyatta those meetings at Statehouse and his dalliance with Mungiki
will nail him. I'm so glad that Maina Njenga is alive and 'untouchable'....coz that morio can spill all the beans
that link Jomo's son to the Mungiki hands down. Now you know why he is walking around free yet he commited
unspeakable evil to his fellow kindred and beyond.
I will not let you get away with falsehoods on this forum maana 'ukimwaga mboga mimi nawaga ugali'...:smile:
Kweli hali tete .
Ila hili swala limekaa kimazingaumbwe sana ,aliyegoma na kukataa matokeo na kuwaasa wananchi wafanye uamuzi ni wenyewe ni Odinga .Pia aliyemnyang'anya mwenzie ushindi kwa makusudi na kusababisha fujo ni Kibaki .Mbona hawa hawataji !? Political game as usual .
My take:
Hawa jamaa Ruto na Uhuru wana wafuasi wa kutosha Kenya, pindi watakapokutwa na hatia waenguliwe kwenye uchaguzi patachimbika Kenya .
Hii mahakama inabidi itumie busara zaidi ya kuendeshwa kikoloni .Kinachotengenezwa Kenya na hii mahakama ya kisanii tutajionea wenyewe .MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU.
eh eh..Ab tichaz those are nuanced hints yakwamba yote yameshindikana and it is bensoudas careful and only chosen way of telling kenyans they are opting out from the mess they have put themselves into.
KENYA:The ICC Prosecutor now says she has additional incriminating evidence sufficient to sustain murder charges against Mr Uhuru Kenyatta, Mr William Ruto and two other Kenyan suspects.
The enhanced murder charges were contained in updated documents of charges prepared by Gambia-born Fatou Bensouda on the serious crimes against humanity facing the four Kenyans.
The new document reasserts alleged meetings held at State House, Nairobi, with Uhuru playing the central role in planning the revenge attacks witnessed in Naivasha.
As for Ruto who the prosecutor saddles with the Kiambaa church killings in Eldoret, the Prosecutor introduces a new list of alleged accomplices he was supposed to have worked with in mobilising, coordinating and commanding the killings in the Rift Valley.
I see no way Kenyatta nd Ruto pulls themselves out of this,they better just pulls out of the elections campaign first nd try to concetrate on how to defend themselves at the hague
Wanasiasa bwana wanachekesha sana. Wakati ule Martha Karua akiwa Waziri wa Sheria alipeleka mswaada bungeni wa kuunda Special Court, lakini wakamzomea. Kila mwanasiasa akisimama alikuwa akisema mambo yote Hague. Sasa hivi wanalalamika. Nadhani ni Mungu tu anayeweza kuwaelewa wanasiasa
Hawa niwafungwa watarajiwa iweje wapewe ruksa ya kugombea?