Hali tete kwa rafiki yangu

Kupiga punyeto madhara yake inatokana na ipigaji na jinsi ya kutumia vitu gani unatumia kwnye kupiga punyeto mfano
1)Unapiga punyeto na sabuni au mafuta na unapiga mara 4 au 5 kwa siku aisee lazima upate matatizo ya ku cum fasta wakati wa tendo pia lazima uume ulegee mana unatumia chemical na nguvu nyingi misuli inaichosha.

2)Unapiga punyeto sana lazima utadhurika tuu mzee kitu chochote kikizidi ni sumu yani ukizidisha sana punyeto ni sumu tena sumu kali sana na mbaya sana.kwaiyo sasa njia nzuri ya kupiga punyeto ili usidhurike ni kama ifuatavyo..
i)Usipige kabisa mana unaweza ukaingia ila ukanogewa ukadhurika,piga lakini piga mara moja kwa mwezi au mara moja kwa wiki tena round moja tu.
ii)Ukipiga usitumie mafuta wala sabuni tumia mate uwezi hivi usipige punyeto utadhurika ndomana kuna watu wanapiga puri lkn awadhuriki kwa sababu ya hivi upiga kwa afya one time one time wakizidiwa
iii) Ukipiga basi ufanye na mazoezi push up 30 kila siku, kukimbia Mile 2 kila siku
iv)Usipige sana kujitesa...

N.B# si influence watu wapige punyeto piga punyeto ukiwa umezidiwa sana yani tena mara moja kwa mwezi mana kupiga sana punyeto ni hatari kwa afya yako utashangaa unaoa mke una sex nae kwa sec 8 tuu ushamaliza wakati wenzako wanatumia dk 15 dk 20 mpaka dk 30 so kuweni makini sana na Punyeto vijana.
 
Hawa wazee wa fursa!! Huwa najiuliza performance ya muuza dawa za nguvu za kiume sita kwa sita huwa iko vp?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…