Hali tete kwa rafiki yangu

Hali tete kwa rafiki yangu

Kwanza kabisa mpe pole rafiki yako. Kwa kiasi kikubwa naamini rafiki yako ameathirika kisaikolojia na si mfumo wake. Coz nikiangalia age yake, bado sana. Ila nina maswali mawili matatu kabla ya kutoa ushauri wangu.
Umesema rafiki yako ana umri kati ya miaka 25 na 30, je alikuwa member wa CHAPUTA kwa muda gani, na pattern ya dose ilikuwaje. Yaani mara ngapi kwa siku, week, au mwezi. Na je, alikuwa akitumia mbinu gani ya kuamsha hisia?. Yaani alikuwa akipiga tu hivihivi, au alikuwa akitumia picha, au alikuwa akitumia video?.Madhara ya kisaikolojia hutofautiana kulingana na mbinu hizo nilizotaja. Ni kama teja, kuvuta, kunusa, au kujidunga. Na mwisho, je amerudisha membership card ya CHAPUTA au bado?. Naomba majibu ya maswali hayo ili tuone tunamsaidiaje jamaa yako.
Kupiga punyeto madhara yake inatokana na ipigaji na jinsi ya kutumia vitu gani unatumia kwnye kupiga punyeto mfano
1)Unapiga punyeto na sabuni au mafuta na unapiga mara 4 au 5 kwa siku aisee lazima upate matatizo ya ku cum fasta wakati wa tendo pia lazima uume ulegee mana unatumia chemical na nguvu nyingi misuli inaichosha.

2)Unapiga punyeto sana lazima utadhurika tuu mzee kitu chochote kikizidi ni sumu yani ukizidisha sana punyeto ni sumu tena sumu kali sana na mbaya sana.kwaiyo sasa njia nzuri ya kupiga punyeto ili usidhurike ni kama ifuatavyo..
i)Usipige kabisa mana unaweza ukaingia ila ukanogewa ukadhurika,piga lakini piga mara moja kwa mwezi au mara moja kwa wiki tena round moja tu.
ii)Ukipiga usitumie mafuta wala sabuni tumia mate uwezi hivi usipige punyeto utadhurika ndomana kuna watu wanapiga puri lkn awadhuriki kwa sababu ya hivi upiga kwa afya one time one time wakizidiwa
iii) Ukipiga basi ufanye na mazoezi push up 30 kila siku, kukimbia Mile 2 kila siku
iv)Usipige sana kujitesa...

N.B# si influence watu wapige punyeto piga punyeto ukiwa umezidiwa sana yani tena mara moja kwa mwezi mana kupiga sana punyeto ni hatari kwa afya yako utashangaa unaoa mke una sex nae kwa sec 8 tuu ushamaliza wakati wenzako wanatumia dk 15 dk 20 mpaka dk 30 so kuweni makini sana na Punyeto vijana.
 
[emoji891] *DAWA YA NGUVU ZA KIUME* [emoji891]
Kwa wale wenye kusumbuliwa na nguvu za kiume tafuta dawa hizi:-
[emoji298]1. Kisenganyika
[emoji298]2.Mlipu

Katika mimea hiyo hutumika mizizi yake, chukua mizizi ya mimea hiyo bandua maganda/magamba/magome ya mizizi hiyo ikaushe vizuri kila moja sehemu yake kisha isage kila moja sehemu yake baada ya hapo changanya unga huo wa mlipu na kisenganyika kwa ujazo sawa , yaani kama utapata mlipu vijiko kumi na kisenganyika iwe vijiko kumi,

[emoji268]MATUMIZI[emoji268]
Tumia kijiko kimoja cha mchanganyiko huo kwa maji moto kikombe kimoja kutwa mara mbili

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nami
+255 655 821 550
what's app /call
Sulayman Sangida
Hawa wazee wa fursa!! Huwa najiuliza performance ya muuza dawa za nguvu za kiume sita kwa sita huwa iko vp?!
 
Back
Top Bottom