Utapata bawasiri bure kwa kuisakama Simba.Ukipita Mitaani ulikuwa Unasikia Mashabiki wa Simba wakijinasibu "Sisi lazima tuione nusu Msimu huu, Haiwezekani robo robo iwe kila Mwaka" Mashabiki wa Simba ndiyo Mashabiki waliokuwa wanaonekana hofu ya Mchezo hawana Ukianzia kwa Msemaji wao Ahmed Ally mpaka Mashabiki.
Hivyo imekuja Baada ya Kisikia Al Ahly ile sio Al Ahly hii ya sasa Maana ya Sasa Majeruhi wengi na pia Wamepoteana'Lakini kuna mtu Mmoja aliwahi kuniambia"Bwana Al Ahly sisi tunaijua tokea Zamani hiyo inamchezo wa kukubadilishia gia Mlimani kwa Maana ina namna ya Kucheza Mechi zisizo na Ushindani na Zenye Ushindani", na Kweli ndiyo ninacho Kiona.
Percy Tau na Aliou Dieng walikuwa Nje ya Wanja kwa sababu Mbalimbali na sasa Wamerejea katika Kikosi cha Al Ahly kinacho jiandaa Kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa 29/03 dhidi ya Simba.
Lakini kwa Upande Mwengine tumeona Al Ahly ilitangaza nyota wake Kazaa ya kwamba wana Majeruhi lakini katika Mazoezi ya Mwisho Mwisho ya Al Ahly nyota hao Wameendelea kuwepo na kwa namna moja hama nyengine watakuja Nchini Tanzania.
View attachment 2944107
Kama hujui kuwa tumeshamfunga zaidi ya mara moja basi mak& mwenyewe na ukoo wako wote.we mak& kweli al ahaly umemfunga mara ngapi zaidi ya mechi moja??
Mechi za hapa zote hao wachezaji walitangazwa wagonjwa lakini walicheza na bado mnaendelea kusikiliza ngonjera zao..Ngoja tuone
Shauri yako,unahangaika sana na Simba kuliko utopolo yako,au hamia huku kabisa.Hapana mkuu...hakuna uhisiano hapo
Kumbe hata maandishi yako huwaga huyasomi?Ndo Nini mkuu
Habari yako ya Tau yenyewe ni historia.Mpira sio historia mkuu
Ukipita Mitaani ulikuwa Unasikia Mashabiki wa Simba wakijinasibu "Sisi lazima tuione nusu Msimu huu, Haiwezekani robo robo iwe kila Mwaka" Mashabiki wa Simba ndiyo Mashabiki waliokuwa wanaonekana hofu ya Mchezo hawana Ukianzia kwa Msemaji wao Ahmed Ally mpaka Mashabiki.
Hivyo imekuja Baada ya Kisikia Al Ahly ile sio Al Ahly hii ya sasa Maana ya Sasa Majeruhi wengi na pia Wamepoteana'Lakini kuna mtu Mmoja aliwahi kuniambia"Bwana Al Ahly sisi tunaijua tokea Zamani hiyo inamchezo wa kukubadilishia gia Mlimani kwa Maana ina namna ya Kucheza Mechi zisizo na Ushindani na Zenye Ushindani", na Kweli ndiyo ninacho Kiona.
Percy Tau na Aliou Dieng walikuwa Nje ya Wanja kwa sababu Mbalimbali na sasa Wamerejea katika Kikosi cha Al Ahly kinacho jiandaa Kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa 29/03 dhidi ya Simba.
Lakini kwa Upande Mwengine tumeona Al Ahly ilitangaza nyota wake Kazaa ya kwamba wana Majeruhi lakini katika Mazoezi ya Mwisho Mwisho ya Al Ahly nyota hao Wameendelea kuwepo na kwa namna moja hama nyengine watakuja Nchini Tanzania.
View attachment 2944107
Unafatilia mpira kaka, kuna mechi kagere alitupia na nyingine konde boywe mak& kweli al ahaly umemfunga mara ngapi zaidi ya mechi moja??
Umesomea kuichambua Simba tu.Hapana mkuu...mm ni mchambuzi na msema kweli
Uwafunge na wachezaji wako kina FredTunataka tuwafunge wakiwa wametimia.
Hata Ndumbaro akiachana na uwaziri wa sanaa na michezo ni mwanasheria asiyejua sheria ππUkiachana na uchambuzi...pia Mimi ni mhariri ..so sikoseagi