Hali tete Simba, Percy Tau na Dieng warejea uwanjani

Ukipita Mitaani ulikuwa Unasikia Mashabiki wa Simba wakijinasibu "Sisi lazima tuione nusu Msimu huu, Haiwezekani robo robo iwe kila Mwaka" Mashabiki wa Simba ndiyo Mashabiki waliokuwa wanaonekana hofu ya Mchezo hawana Ukianzia kwa Msemaji wao Ahmed Ally mpaka Mashabiki.

Hivyo imekuja Baada ya Kisikia Al Ahly ile sio Al Ahly hii ya sasa Maana ya Sasa Majeruhi wengi na pia Wamepoteana'Lakini kuna mtu Mmoja aliwahi kuniambia"Bwana Al Ahly sisi tunaijua tokea Zamani hiyo inamchezo wa kukubadilishia gia Mlimani kwa Maana ina namna ya Kucheza Mechi zisizo na Ushindani na Zenye Ushindani", na Kweli ndiyo ninacho Kiona.

Percy Tau na Aliou Dieng walikuwa Nje ya Wanja kwa sababu Mbalimbali na sasa Wamerejea katika Kikosi cha Al Ahly kinacho jiandaa Kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa 29/03 dhidi ya Simba.

Lakini kwa Upande Mwengine tumeona Al Ahly ilitangaza nyota wake Kazaa ya kwamba wana Majeruhi lakini katika Mazoezi ya Mwisho Mwisho ya Al Ahly nyota hao Wameendelea kuwepo na kwa namna moja hama nyengine watakuja Nchini Tanzania.

View attachment 2944107
Utapata bawasiri bure kwa kuisakama Simba.
 
Kumbe hata maandishi yako huwaga huyasomi?

Hata kama unakopi na kupaste jitahidi kuwa unasoma zaidi ya mara moja uhakiki unachoposti
Ukiachana na uchambuzi...pia Mimi ni mhariri ..so sikoseagi
 
Ukipita Mitaani ulikuwa Unasikia Mashabiki wa Simba wakijinasibu "Sisi lazima tuione nusu Msimu huu, Haiwezekani robo robo iwe kila Mwaka" Mashabiki wa Simba ndiyo Mashabiki waliokuwa wanaonekana hofu ya Mchezo hawana Ukianzia kwa Msemaji wao Ahmed Ally mpaka Mashabiki.

Hivyo imekuja Baada ya Kisikia Al Ahly ile sio Al Ahly hii ya sasa Maana ya Sasa Majeruhi wengi na pia Wamepoteana'Lakini kuna mtu Mmoja aliwahi kuniambia"Bwana Al Ahly sisi tunaijua tokea Zamani hiyo inamchezo wa kukubadilishia gia Mlimani kwa Maana ina namna ya Kucheza Mechi zisizo na Ushindani na Zenye Ushindani", na Kweli ndiyo ninacho Kiona.

Percy Tau na Aliou Dieng walikuwa Nje ya Wanja kwa sababu Mbalimbali na sasa Wamerejea katika Kikosi cha Al Ahly kinacho jiandaa Kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa 29/03 dhidi ya Simba.

Lakini kwa Upande Mwengine tumeona Al Ahly ilitangaza nyota wake Kazaa ya kwamba wana Majeruhi lakini katika Mazoezi ya Mwisho Mwisho ya Al Ahly nyota hao Wameendelea kuwepo na kwa namna moja hama nyengine watakuja Nchini Tanzania.

View attachment 2944107

Simba wakupe usemaji. Haipiti masaa mawili umeipost. Yaani unaitangaza sana Simba kuliko team yetu ya Yanga.
 
Ukiachana na uchambuzi...pia Mimi ni mhariri ..so sikoseagi
Hata Ndumbaro akiachana na uwaziri wa sanaa na michezo ni mwanasheria asiyejua sheria 😁😁

Sikushangai na uhariri wako mtu mwenye akili kisoda,wahariri njaa mpo wengi bongo 😁
 
Back
Top Bottom