LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Mimi siongei kwa ubaya ila tamesa wa kivukoni pamoja na Ncard wapuuzi kiwango cha TBS.Lini hio kaka yule pastor wa sea taxi wa mchongo sana
Just imagine wanaweka sehemu za kupunch card 10 but zinatumika 6 4 ZINAWEKWA DUSTIBINS ZAO , au wanasema samahani mfumo wa kulipia ncard unasumbua mnakaa siku kumi mfumo bado unasumbua.
Ukiachana ubovu wa pantoni na utaratibu wa kuvuka