Mimi siongei kwa ubaya ila tamesa wa kivukoni pamoja na Ncard wapuuzi kiwango cha TBS.
Just imagine wanaweka sehemu za kupunch card 10 but zinatumika 6 4 ZINAWEKWA DUSTIBINS ZAO , au wanasema samahani mfumo wa kulipia ncard unasumbua mnakaa siku kumi mfumo bado unasumbua.
Sehemu zote za kukaa dar unaenda kujenga kigamboni au mlidanganywa George Bush atawapa fidia atakapokuja kununua maeneo yenu si bora nikae zanzibar nifanye kazi dar ila dar watu wanateseka sana kila kitu ni shida