unamuuliza mtu aliyechangayikiwa ana shida gani?..unategemea jibu sahihi kweli?..rudini tena hospitali tena nendeni muhimbili msichoke apate vipimo vyote vya kichwa n.k. mkizembea mtampoteza huyo maana hapo kwa mswahili mtaanza kuwaza tunguli na huko ndio mtaenda kukomaza tatizo