Hali wala halali amechanganyikiwa anavua nguo hovyo. Anaongea peke yake. Nimsaidieje?

Hali wala halali amechanganyikiwa anavua nguo hovyo. Anaongea peke yake. Nimsaidieje?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Ni dada yetu amefikia hali hiyo. Ukimuuliza ana shida gani anasema haelewi. Amepelekwa hospitali hakuma suluhisho.
 
Ni dada yetu amefikia hali hiyo. Ukimuuliza ana shida gani anasema haelewi. Amepelekwa hospitali hakuma suluhisho.

unamuuliza mtu aliyechangayikiwa ana shida gani?..unategemea jibu sahihi kweli?..rudini tena hospitali tena nendeni muhimbili msichoke apate vipimo vyote vya kichwa n.k. mkizembea mtampoteza huyo maana hapo kwa mswahili mtaanza kuwaza tunguli na huko ndio mtaenda kukomaza tatizo
 
Back
Top Bottom