Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma

Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
 
Ajira mbona zinatangazwa zote mfano mwezi wa nne wamemwaga za wizara ya ardhi.mwezi wa tano wamemwaga za wizara ya mifugo na uvuvi..au hupitii ajiraportal
Apo kwenye uvuvi hivi hawa watu wa Acquatic technology wanaweza kuingia wangap kwa mfano?
 
Kilimo walisema watatoa ajira kama 800 hivi. Ila walizotoa hazifiki hata 10.
 
Apo kwenye uvuvi hivi hawa watu wa Acquatic technology wanaweza kuingia wangap kwa mfano?
Ukilitimba umeingia, watu wa aquatic mfumo hauwataki akati miaka yote wameajiriwa uvuvi sahizi mfumo unawagomea.
 
Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma

Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini

Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
 
Daah we jamaa vip
 
ajira za uchawa mbona zenyewe haziwekwi huko ajiraportal
 
Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini

Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
Una MENTAL ILLNESS [emoji855] naishia hapa
 
ajira za kilimo sijui watakuja kuachia lini mkuu
Mkuu we umesoma Kilimo na una level ipi..?
Kuhusu Ajira usijali watatoa soon.
Naona kuwa wamepunguza jam kutoa sambamba na hizi mifugo na zinginezo
 
Back
Top Bottom