Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini

Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
Enhee!, Huyu hapa kichaa mpya ndani ya jamii.
 
Hii thread kuna sehemu imezungumzia dini au ni mm sielewi?
 
Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini

Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa

Mkuu unaweza kuonesha uchochezi wapi hapo?
 
Back
Top Bottom