DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ajira mbona zinatangazwa zote mfano mwezi wa nne wamemwaga za wizara ya ardhi.mwezi wa tano wamemwaga za wizara ya mifugo na uvuvi..au hupitii ajiraportalMimi nashindwa kuelewa kwanini hawatangazi ajira todauti na walimu na madaktari
Mkuu mbona TRA walitangaza,, vyombo vya ulinzi pia,,Mimi nashindwa kuelewa kwanini hawatangazi ajira todauti na walimu na madaktari
Itakuwa nazo wanaoomba ni walimu na madaktari
acha kuchekesha basMimi nashindwa kuelewa kwanini hawatangazi ajira todauti na walimu na madaktari
sasa hv tu halmashauri karibia zote nchi nzima zimemwaga nafasi za watendaji wa vijiji nafikiri nazo itakua wanaomba walimu na madaktariItakuwa nazo wanaoomba ni walimu na madaktari
Apo kwenye uvuvi hivi hawa watu wa Acquatic technology wanaweza kuingia wangap kwa mfano?Ajira mbona zinatangazwa zote mfano mwezi wa nne wamemwaga za wizara ya ardhi.mwezi wa tano wamemwaga za wizara ya mifugo na uvuvi..au hupitii ajiraportal
Ukilitimba umeingia, watu wa aquatic mfumo hauwataki akati miaka yote wameajiriwa uvuvi sahizi mfumo unawagomea.Apo kwenye uvuvi hivi hawa watu wa Acquatic technology wanaweza kuingia wangap kwa mfano?
Kilimo walisema watatoa ajira kama 800 hivi. Ila walizotoa hazifiki hata 10.
Mimi nashindwa kuelewa kwanini hawatangazi ajira todauti na walimu na madaktari
Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa diniVijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma
Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
Daah we jamaa vipMaadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini
Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
Nioneshe hzo chini ya 10 walizotoa.. Acha uongo mkuu..Kilimo walisema watatoa ajira kama 800 hivi. Ila walizotoa hazifiki hata 10.
Una MENTAL ILLNESS [emoji855] naishia hapaMaadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini
Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
Mkuu we umesoma Kilimo na una level ipi..?ajira za kilimo sijui watakuja kuachia lini mkuu