mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
degree ya agro EcononomicsMkuu we umesoma Kilimo na una level ipi..?
Kuhusu Ajira usijali watatoa soon.
Naona kuwa wamepunguza jam kutoa sambamba na hizi mifugo na zinginezo
Enhee!, Huyu hapa kichaa mpya ndani ya jamii.Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini
Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
MCHUMU WA KILIMO, Mzee wa Mazimbu bila shaka wenyewe tunaitaga AEA..d
degree ya agro Econonomics
udizm mkuuMCHUMU WA KILIMO, Mzee wa Mazimbu bila shaka wenyewe tunaitaga AEA..
Utakuwa hujui kusoma. Zimetangazwa.Mimi nashindwa kuelewa kwanini hawatangazi ajira todauti na walimu na madaktari
Hii thread kuna sehemu imezungumzia dini au ni mm sielewi?Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini
Acha ukilitimba wa ubaguzi wa dini mzee umepata kazi wewe wengine hatuna kazi acha kulinganisha na kudhihaki kipindi cha magufuri,. Kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha michongo inawezekana na ww ni mtu wa michongo hakina tofauti na kipindi cha samia.
Kipindi cha mwenda zake magufuri kilikuwa kipindi cha utetez wa wanyonge watu masikini na ndio maana waliopata kazi kwa michongo walitumbuliwa
Upeo wako utakuwa mdogo jitahidi kuwa na jicho la tatu nduguHii thread kuna sehemu imezungumzia dini au ni mm sielewi?
Mkuu ukweli lazima usemweUpeo wako utakuwa mdogo jitahidi kuwa na jicho la tatu ndugu
Ukweli gani hapo mkuu kama sio ukweli wa kinafikiMkuu ukweli lazima usemwe
Maadmin na mamoderator wa JF wamelala hii post straight imelenga katika uchochezi wa ubaguzi wa dini