Ningelikuwa JK, ningemteua Dr. Slaa kuwa mbunge ili aendelee kuiwajibisha serikali bungeni.
Naamini JK akifanya hivyo atakuwa amefanya jambo muhimu sana kwa taifa letu.
Ningelikuwa JK, ningemteua Dr. Slaa kuwa mbunge ili aendelee kuiwajibisha serikali bungeni.
Naamini JK akifanya hivyo atakuwa amefanya jambo muhimu sana kwa taifa letu.
wewe acha unafiki wa chama cha kifisadi ccm
Pole kwa lipi? tunasubilia huo ushindi wa asilimia 80%, mlidhani watanzania wanadanganyika.....kusoma tuu haisaidii inabidi uwe na street as well...Poleni sana Chadema next time though i feel you!
Binti maringo pole wewe ambaye wananchi wamejieleza wazi kuwa wamechoka, Tena hivi mmefunnga vyuo vikuu kwa kuogopa nguvu ya vijana wasomi, pamoja na uchakachuaji ndio labda JK (phd ya disco) ashinde la sivyo, kama haki-vyuo vingekuwa wazi-kura wazi walaaaaaaa BUT we'll reach there wanamapinduzi hawafi moyo.
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.