Elections 2010 Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa.

Elections 2010 Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa.

mie naona tumpeleke hata kwa viti maalum maana bunge bila slaa si bunge hilo.
 
Ningelikuwa JK, ningemteua Dr. Slaa kuwa mbunge ili aendelee kuiwajibisha serikali bungeni.

Naamini JK akifanya hivyo atakuwa amefanya jambo muhimu sana kwa taifa letu.
 
Ningelikuwa JK, ningemteua Dr. Slaa kuwa mbunge ili aendelee kuiwajibisha serikali bungeni.

Naamini JK akifanya hivyo atakuwa amefanya jambo muhimu sana kwa taifa letu.


Umekaa mawazoni mwangu... bila shaka kama JK ana nia nzuri na taifa hili atafanya hivyo
 
Ningelikuwa JK, ningemteua Dr. Slaa kuwa mbunge ili aendelee kuiwajibisha serikali bungeni.

Naamini JK akifanya hivyo atakuwa amefanya jambo muhimu sana kwa taifa letu.

wewe acha unafiki wa chama cha kifisadi ccm
 
wewe acha unafiki wa chama cha kifisadi ccm


Baada ya matokeo tunaweka pembeni tofauti na misimamo na kuangalia mustakabali wa maendeleo ya taifa, hakuna ubaya wowote kumfanya mpiganaji awepo bungeni kuendeleza changamoto. Lengo kuu ni maendeleo ya nchi.
 
Serikali ya kitaifa inahitajika kama maendeleo yatakuwa kama ya sasa manake kwa mujibu wa TBC ambayo imetoa majimbo 44 hivi bunde inaonyesha CCM inaongoza kwa 57% (Majimbo 25), ikifuatiwa na CUF (majimbo 10) kwa 23% na Chadema 20% (majimbo 9). Plus or minus inategemewa jinsi matokeo yanavyokuja kwa kuhusu hatma ya wagombea ni kuvuta subira kidogo manake watz wameamua ni si bora kuzarau maamuzi yao.

Dr. Shein kashinda kwa 51% hii ni kawaida kwa Zanzibar isipokuwa Shein amekubali serikali ya kitaifa kwa mujibu wa katiba ya Zenji lakini bara katiba haisemi ni muafaka kulijadili sasa
 
chadema is the winner dont u see that all strategic areas has been taken
like mwanza,arusha , moshi, mbeya.
 
akili za watu wanadhani dakta slaa ''ana njaa''
what a shame!.....LOL
 
Kwani matokeo ya urais tayari?...Kutangaziwa majimbo aliyoshinda Kikwete basi mshakata tamaa..very low...
 
kusoma tuu haisaidii inabidi uwe na street as well...Poleni sana Chadema next time though i feel you!
Pole kwa lipi? tunasubilia huo ushindi wa asilimia 80%, mlidhani watanzania wanadanganyika.....
 
Nashukuru kwa wale nyote mlochangia hoja hii ya baada ya uchaguzi dr slaa atakuwa kipande gani.
Nasema hivi uchaguzi umeisha na ameshindwa hata kama kura hazijahesabiwa zote lakini kwa tathimini
yangu ndo hivyo, basi tujenge nchi y etu tuache mambo ya uchaguzi waloshindwa wajiandae kama wanataka
mwaka 2015 ili tuendeleze libeneke la kuijenga tz
 
kwa kifupi hali ya dr slaa itazidi kuimarika kisiasa maana yeye haogopi na ana uwezo wa kukabiliana na hali yoyote kisiasa na mbali na hapo status yake itaendelea kuwa juu kisiasa
 
Binti maringo pole wewe ambaye wananchi wamejieleza wazi kuwa wamechoka, Tena hivi mmefunnga vyuo vikuu kwa kuogopa nguvu ya vijana wasomi, pamoja na uchakachuaji ndio labda JK (phd ya disco) ashinde la sivyo, kama haki-vyuo vingekuwa wazi-kura wazi walaaaaaaa BUT we'll reach there wanamapinduzi hawafi moyo.

Msikate tamaa we still have chances, they are now making you think we have fail by starting with areas where JK has advantage wakati wanachakchua!! vijana wako ngangari, wait and c!
 
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.


Hali ya baadae ya DK. Slaa ndio amepotea katika jukwaa la siasa ndugu yangu. inahitaji uwe na uwoni wa mbali ndio unaweza ku foresee.
 
Nakubaliana kuwa Dk. Slaa ajipange kwa ajili ya 2015. Hii ndio hali halisi kwa sasa. Ila ni kidume kweli kweli maana katembea na POP bila kujali maumivu. Bravo. Rudi home ukauguze mkono kwa kufuata masharti ya madaktari. Afya yako ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom