Wapuuz sana.Siku hiz JF kama Facebook tuYaani kiboya boya kabisa
Hivi mi ndo sina connection hizo picha ndo sijaona hadi leo
Bora tu sasa hiyo 200 anafanyia nini maana hata fegi hainunuiVip ungekuwepo ungeongezea 200 ifike 8000?
Itapendeza
Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja kutoka Mwanza na mwingine kutoka dsm wamenusurika ingawa wamejeruhiwa vibaya. Hata hivyo hali ya bahahari imetulia na wavuvi wanaendelea na shughuri zao za uvuvi ingawa bado kuna hali ya tahadhari. Chanzo cha gharika hiyo ni nyangumi wawili ambao walitunishiana msuli hali iliyopelekea nyangumi mmoja nyeti zake kuonekana na wavuvi,hata hivyo idara ya hali ya hewa imetahadharisha huenda nyanguni wengine wakachomoa betri na bahari ikachafuka tena.
Huu msamiat umenichukua mda kuuelewaKufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja kutoka Mwanza na mwingine kutoka dsm wamenusurika ingawa wamejeruhiwa vibaya. Hata hivyo hali ya bahahari imetulia na wavuvi wanaendelea na shughuri zao za uvuvi ingawa bado kuna hali ya tahadhari. Chanzo cha gharika hiyo ni nyangumi wawili ambao walitunishiana msuli hali iliyopelekea nyangumi mmoja nyeti zake kuonekana na wavuvi,hata hivyo idara ya hali ya hewa imetahadharisha huenda nyanguni wengine wakachomoa betri na bahari ikachafuka tena.
Picha za hao membersPicha gani mdau are you serious