Hali ya bahari yarejea kuwa shwari

Hali ya bahari yarejea kuwa shwari

Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ukipuliza-Lembeli.
 
Ila hicho kikao cha mwisho walichokuja na 7800 wamezingua sana ,bahati mbaya sikuhudhuria
 
Mkuu ilikuaje. ..?? Nani picha yake ili tumwa humu. .na ilikuwa ni picha ambayo yupo naked au ?
Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja kutoka Mwanza na mwingine kutoka dsm wamenusurika ingawa wamejeruhiwa vibaya. Hata hivyo hali ya bahahari imetulia na wavuvi wanaendelea na shughuri zao za uvuvi ingawa bado kuna hali ya tahadhari. Chanzo cha gharika hiyo ni nyangumi wawili ambao walitunishiana msuli hali iliyopelekea nyangumi mmoja nyeti zake kuonekana na wavuvi,hata hivyo idara ya hali ya hewa imetahadharisha huenda nyanguni wengine wakachomoa betri na bahari ikachafuka tena.
 
Huu msamiat umenichukua mda kuuelewa
 
Back
Top Bottom