Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,696
Reaction score
2,159
Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi. Pamoja na kuwa kila mtu anafuta riziki, lakini ukweli lazima tuseme. Ongezeko la watu wanaojenga viduka pembezoni mwa barabara imeuwa kabisa biashara kwa sisi tuliondani ya maduka.

Ushauri kwa serekali hivi vibanda vinaua uchumi si rahisi mtu kuweza kulipa pango ya jengo, kodi ya TRA na ushuru wa leseni ikiwa mbele yako kuna mtu amejenga duka kubwa tu barabarani na halipii chochote.
 
Raisi anawaruhusu Wamachinga/ wanyonge wafanye biashara popote. Afu anasema kuna wafanyabiashara wanakwepa Kofi kwa kuwapa Wamachinga bidhaa wwkauze? Ebo
Alitegemea chinga aingize container la mikanda kweli?
Huyu kiongozi unaelewa kweli
 
Mimi na amini ni swala la muda tu haya mambo tuta elewana. Tumeishi maisha ya kupenda ushabiki mno bila kuangalia huo ushabiki una faida gani na hasara gani kwako na jamii nzima na zita dumu kwa mda gani. Uzuri huu upepo una kula pande zote mbili hakuna anaye baki salama. Ila na amini ipo siku tutakuwa sauti moja ujinga utakuwa umepungua akilini mwetu.
 
Mkuu tushakua kitu kimoja...tena vzr sana...si wafanyakaz wala wafanyabiashara...
 
serekali ilishindwa kutengenez mazingira bora kwenye majengo watu wakamiliki maduka,migahawa,sehemu za biashara zilizo na mpangilio wao wakasubiri mimi na wewe tulio na nyumba tutengeneze kodi zetu za majumba,hata hatakaye kuwepo nje naye tutapokea kodi.
serekali imeshindwa kuweka mpango unao takiwa yani urban life area
 
Nawahurumia na waliochukua frem stendi mpya na haohao machinga wamepewa uhuru kama wote na mkuu watajazana mno kuuza vitu bei ya chini na vipo dukani kwa wewe unaelipa kodi ni huruma ya mteja itaamua anunue wapi sasa
 
Cha msingi ni uhai....KUIMBA KUPOKEZANA....na nilichokuja kujua ni kwamba unapolia wewe acha kujipa moyo kijinga kwa kufikiri na wengine wanalia au watakuja kulia kama wewe.
WEKA MIKAKATI SAWA KU ACCOMODATE MABADILIKO.

No one will do that 4u
 
Mfanya biashara mdogo mwenye duka

Tra - laki moja kila mwaka
leseni - elf 80 kwa mwaka
umeme na usafi - elf 20 kwa mwezi
kodi - laki na nusu kila mwezi

Mfanya biashara mwenye kaduka pembeni

kitambulisho cha ujasiriamali - elf 20 kwa mwaka

na hapo huyo wa pembeni ni kama vile ana upinzani na wewe hivi, kila unachouza yeye anauza.

Biashara nyingi sana zinafungwa, Tuwaache hawa wadogo watajenga nchi, Serikali itapata hela nyingi
 
kama pale mbagala.wenye frem vi8banda vimejaa mpka katikat ya barabara
 
Mfanya biashara mdogo mwenye duka

Tra - laki moja kila mwaka
leseni - elf 80 kwa mwaka
umeme na usafi - elf 20 kwa mwezi
kodi - laki na nusu kila mwezi

Mfanya biashara mwenye kaduka pembeni

kitambulisho cha ujasiriamali - elf 20 kwa mwaka

na hapo huyo wa pembeni ni kama vile ana upinzani na wewe hivi, kila unachouza yeye anauza.

Biashara nyingi sana zinafungwa, Tuwaache hawa wadogo watajenga nchi, Serikali itapata hela nyingi
tena kitambulisho hana
 
Sijui nani wa kusikia kilio hiki, hali sio hali
 
Hali ni mbaya kweli, maduka hayana nafasi tena kwa sasa bidhaa unapata popote
 
Mbona biashara zilishajifia siku nyingi Mkuu?
 
Back
Top Bottom