kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Mkuu tushakua kitu kimoja...tena vzr sana...si wafanyakaz wala wafanyabiashara...Mimi na amini ni swala la muda tu haya mambo tuta elewana. Tumeishi maisha ya kupenda ushabiki mno bila kuangalia huo ushabiki una faida gani na hasara gani kwako na jamii nzima na zita dumu kwa mda gani. Uzuri huu upepo una kula pande zote mbili hakuna anaye baki salama. Ila na amini ipo siku tutakuwa sauti moja ujinga utakuwa umepungua akilini mwetu.
tena kitambulisho hanaMfanya biashara mdogo mwenye duka
Tra - laki moja kila mwaka
leseni - elf 80 kwa mwaka
umeme na usafi - elf 20 kwa mwezi
kodi - laki na nusu kila mwezi
Mfanya biashara mwenye kaduka pembeni
kitambulisho cha ujasiriamali - elf 20 kwa mwaka
na hapo huyo wa pembeni ni kama vile ana upinzani na wewe hivi, kila unachouza yeye anauza.
Biashara nyingi sana zinafungwa, Tuwaache hawa wadogo watajenga nchi, Serikali itapata hela nyingi