Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 352
- 946
wananunua wote sehemu moja, machinga anacut cost na kuokoa pesa ya Kodi la pango, kodi TRA, leseni ya biashara, pesa za vibali na ushuru mwingine, bills za maji na umeme, etc Yeye analipia kitambulisho cha mjasiriamali elfu 20 kwa mwaka, unategemea atauza kitu sawa na huyo mwenye fremu.Hivi machinga bidhaa wanazipata wapi? Dukani Juice blender ni Tsh 85,000 kwa machinga Tsh 55,000
Changamoto ikiletwa inatakiwa ifanyiwe kazi na kutatuliwa na wahusika, kusudi hawa wenye maduka waendelee na biashara zao bila bughudha. Ikiwa kila ukipata changamoto inayoletwa na mfumo unabadili biashara si tungebadili kila siku?Jaribuni kilimo wana. Mbona mi mavuno daily [emoji16] nachukua mzigo wangu naenda kubwaga mabibo / ilala / kisutu. Kimyaa
Shambani nina pig farming...life linaenda.
Well Times Have Changed, So Should You.
Siku hizi biashara za uchuuzi hazina hela....mnalost nawaambia. Badili mfumo tu. Sio mpaka uwe na mabilioni.
Nawajua Watu wamefunga maduka (vigoli vyao kariakoo) wamefungua magenge / grocery classic sehem za kishua wana make sana tu.
Mfano ya nn kufungua kiduka cha vifaa vya umeme wakati watu wanaenda kununua vifaa vya umeme kwa big wholesalers...?? Wapo kibao nani anunua bulb buku 3 wakati kuna dealers wanauza bulb 1,500 - 1,700
(i hope people are getting my point)
Sijawahi.wananunua wote sehemu moja, machinga anacut cost na kuokoa pesa ya Kodi la pango, kodi TRA, leseni ya biashara, pesa za vibali na ushuru mwingine, bills za maji na umeme, etc Yeye analipia kitambulisho cha mjasiriamali elfu 20 kwa mwaka, unategemea atauza kitu sawa na huyo mwenye fremu.
Sorry, ulishawahi kufanya biashara yoyote mkuu?
Mbona mnafunga au TRA kakaba kooWatu wengi tumeajiri wamachinga na maduka tumefunga
Huku kwetu mama ntilie wamejàa KILA kina sahani ya wali wanauza elfu, Nani are mgahawani???Leo mi nakiri hapa hadharani hali mbaya ...biashara pekee inayonipa ahueni ni mgahawa lakini Duka la dawa liko hoi ,,,,,
Yani ni maumivu kwakweli.Nchi imekua ya kichuuzi balaa😏
Basi gongolamboto nako sio mchezo, vibanda kama vyote .kama pale mbagala.wenye frem vi8banda vimejaa mpka katikat ya barabara
Ndo maana tunaandika barua kusitishiwa mikodi huko tra....Serikali inaangalia kodi tu bila kuangalia upepo unaovuma,
Kama tunakomoana hivi
Changamoto ikiletwa inatakiwa ifanyiwe kazi na kutatuliwa na wahusika, kusudi hawa wenye maduka waendelee na biashara zao bila bughudha. Ikiwa kila ukipata changamoto inayoletwa na mfumo unabadili biashara si tungebadili kila siku?
Mleta thread ameaddress tatizo sidhani kama ameomba ushauri wa kubadili biashara.