Hali ya Bobi Wine ni mbaya na familia yatishiwa na Serikali

Hali ya Bobi Wine ni mbaya na familia yatishiwa na Serikali

Heri mbwa anayeishi kuliko simba aliyekufa!
 
Zamani tulipigania uhuru kutoka kwa wakoloni lakini sasa tunapigania Uhuru toka kwa waafrika wenzetu ambao ni wabaya na katili kushinda hata ukoloni. Inasikitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"E="kinjumbi one, post: 28035101, member: 292001"]ndio maana inafikia wakati watu huwamini hakuna Mungu. maana hata jambo la kikatili huusishwa Mungu, huku Mungu mwenyewe akiwa hachukui hatua zozote za kuonyesha sio yeye.[/QUOTE]
Mungu wa kwenye vitabu vyetu waajabu sana"...yuko overrated mnoo anapewa sifa ambazo hazimuhusu ..
 
Familia hata ikipotea kwa ajili ya kumtetea mwanafamilia mwenzao hamna shida kwan ni wao ambao wanatakiwa wawe mbele kuhakikisha bob anakua salama...We only live once up on earth

Sent using Xiom X
 
Back
Top Bottom