Hali ya Chidi Benz, kawa kibabu aiseee

Anahitaji diet ya nguvu kurudi kwenye hali yake ya awali. Ukishatumia madawa mwili huwa unateteleka. Ili mradi tu asiludie ngada
 
Maisha magumu msosi kamili anaweza kua hapati
 
kwisha habari yake mchuma janga hula na wakwao....
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa,kijana kasaidiwa sana na wadau lakini habebeki!
 
Kilichomponza Chidi ni kushabikia chadema,

Mwenzake lowasa alikuwa zaidi ya mzee wa miaka 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…