Hali ya Chidi Benz, kawa kibabu aiseee

Unga achieni ugali tu, kimbelembele cha kubwia kitawapeleka mbali
 
Alikaa rehab miezi michache sana wakakimbilia kumtoa eti kashapona (hao kina Tale). Sijui kulikuwa na nia ya dhati ya Chidi kupona au ilikuwa kujizolea umaarufu! Hata Ray C itakuwa hivi hivi siku za karibuni. Wanakaa miezi mitatu rehab halafu wanatoka. Matokeo yake hawaponi vizuri. Kuyakabili mazingira halisi kwa hawa watu ni ngumu sana.
 
Huyu now ni CHID boxer sio benz wala bajaji
 
Ni nani aliyemtoa chid??

Yeye mwenyewe si alikimbia,,mnaanza kuwalaumu watu sasa
 
Sasa hivi ataanza kuokota makopo ya maji!Kichaa hakipo mbali naye.
 
Amani Kwa KAKA VODA Milionea Waambie Wadogo zako Waache PODA wale Mmea..[HASHTAG]#JIPANGE[/HASHTAG]
 
Asee hivi hiyo kitu kuna mwenye amewahi kupona kweli??? Akarudi kama zamani
 
Asee hivi hiyo kitu kuna mwenye amewahi kupona kweli??? Akarudi kama zamani
Labda dunia ipinduke!

Sijawahi shuhudia mtu akarudi normal

Pombe mtu anaacha kabisa lakini nganda ni impossible ( sembe itakuwa na laana ya kipekee)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…