Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 741
aisee hakuna kisichowezekana chini ya jua duuuh
uuuwii huyu jamaa karudia ngada nini? masikini weeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uuuwii huyu jamaa karudia ngada nini? masikini weeeeeee
uuuwii huyu jamaa karudia ngada nini? masikini weeeeeee
Yaani hawa watu sijui huwa wakoje!!! Wamesha athirika na vyama, kama alivyo athirika chid, "pole chid Allah atakupa shifaah"Mnaleta tena mambo ya ccm na ukawa mpaka huku.
HAHAAA HAAHAAAA,......... MPE POLE KWANZAKaimba Nini Kwanza...
Ni nani aliyemtoa chid??Alikaa rehab miezi michache sana wakakimbilia kumtoa eti kashapona (hao kina Tale). Sijui kulikuwa na nia ya dhati ya Chidi kupona au ilikuwa kujizolea umaarufu! Hata Ray C itakuwa hivi hivi siku za karibuni. Wanakaa miezi mitatu rehab halafu wanatoka. Matokeo yake hawaponi vizuri. Kuyakabili mazingira halisi kwa hawa watu ni ngumu sana.
Labda dunia ipinduke!Asee hivi hiyo kitu kuna mwenye amewahi kupona kweli??? Akarudi kama zamani