Hali ya Chidi Benz, kawa kibabu aiseee

Akazane kula vizuri na mazoezi kwa sana ila sembe apaki kabisa
 
daaaah huyu jamaa duuu....afu mbona ray c alikua bonge sio kama huyu mshkaji aisee??
 
Laahaulah.......

Huyu bwana mdogo.....lakini anaonekana mzee kuliko hata wazee wenyewe.....
 
Hasaidiki Kama amerudia kweli kuna anachokitafuta na atakipata tu
 
Amani kwa kaka Voda milionea mwambie [bKing Kong/b] aache ushoga na umbea
Kumbuka Jamaa Alikuja Kuifuta Hiyo Kauli nashangaa wewe bado unaing'ang'ania...Waambie Jamaa zako waache Poda wale Mmea.
 
Kumbuka Jamaa Alikuja Kuifuta Hiyo Kauli nashangaa wewe bado unaing'ang'ania...Waambie Jamaa zako waache Poda wale Mmea.
ile kusema nimeshaacha PODA pia sili MMEA....

Ilikuwa uongo tu baada ya kutoka Rehab baada ya pale akaliwasha gari tena mpaka anavuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…