Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wataweza wapi mkuu?Hahahaha, nimekua nikirudia mara kwa mara kwamba, tatizo la wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria, hakuna jambo lolote ambalo Kanya wanaweza kulitekeleza kwa ufanisi.
Tatizo la wakenya ni "Over rating themselves and overconfidence", hili tatizo linawafanya wasijipe muda wa kufikiria kwa undani na kujua tatizo kwa undani kabla ya kupanga mbinu sahihi ya kukabiliana na tatizo husika, badala yake wanakurupuka.
Jaribuni kufuatilia maamuzi yaliyofanywa na GoK mtagundua hilo, kwa mfano:
1)Green field terminal
2)Kupeleka KDF Somalia
3)Kujenga ukuta kutenganisha Kenya na Somalia
4)SGR
5)Lamu Port
6)Bomba LA mafuta
7)Kusafirisha crude oil kwa barabara
Na mengine mengi, yote haya hayana maslahi kwa Kenya, wangejipa muda na kufikiria kwa undani, wangefikia maamuzi tofauti Karisa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kipaumbele chao ni kuongea kingereza,