BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Mwishoni mwa mwaka jana Mh Lowassa aliita wafanyabishara wa Arusha nyumbani kwake Monduli ili kupanga mikakati ya kufanya fund rising kwa ajili ya Corridor Springs Hotel. Fund Rising Ilifanyika katika kanisa la mjini kati na ilipatikana takribani shs Mil 370.
Nimeona jitihada nyingi sana zilizofanyika katika kuinusuru hoteli lakini sioni kama kanisa lina respond katika hizi jitihada. Below ni factors zinazofanya nifikirie hivyo
1. Kuweka board isiyokuwa na utaalamu wala network katika kusimamia shughuli za Hotel - Kama wanayo watupe track records
2. Kuendelea ku retain idadi ya staff wengi wakati hakuna biashara
3. Kutokuwa na strategies za ku restore biashara iliyopotea na kuleta biashara mpya
4. Pamoja na hali mbaya ya biashara wameajiri tena incapable Manager kwa gharama ya shs 5 Million kwa mwezi
Kwa kweli this is terrible and ridiculous to employ such an expensive manager for a dull business like Corridor Springs.
Kuweni na hofu ya Mungu muweke nyuma maslahi yenu na hii hoteli itasimama, kinyume na hapo uongozi wa kanisa mnajitafutia laana toka kwa Mungu na waumini wanaochangishwa shs alfu 30. Unaona raha gani mama muuza mihogo akachanga alfu 30 kwa ajili yako wewe uliekula hela.