kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Jul 23, 2021 Thread starter #121 Manga ML said: Pole sana mkuu Vipi asa ivi bado mnazika au kumetulia Click to expand... Mkuu leo nimeambiwa kuna watu watatu wamefariki.......wawili ugonjwa haujajulikana huyo mmoja ni covid
Manga ML said: Pole sana mkuu Vipi asa ivi bado mnazika au kumetulia Click to expand... Mkuu leo nimeambiwa kuna watu watatu wamefariki.......wawili ugonjwa haujajulikana huyo mmoja ni covid
kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Jul 23, 2021 Thread starter #122 Zogwale said: Halafu wamejisahau Sana. Hii pamoja na vitu asili ilisaidia Sana. Click to expand... Kabisa
Zogwale said: Halafu wamejisahau Sana. Hii pamoja na vitu asili ilisaidia Sana. Click to expand... Kabisa
baby zu JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,816 Reaction score 4,770 Jul 23, 2021 #123 mbutamaseko said: Wewe ni mmoja wa team iliyopewa bando ili kurudisha hofu kwa watz juu ya uviko? Kama sio mmoja wao taja eneo au kijiji ambacho kina hiyo misiba 6. Tulioko moshi tuhakikishe. Sio vyema kushiriki kutia hofu wananchi Click to expand... Nachukia watu wabishi, nenda ilboru leo karibu na riadha lodge amefariki kaka mmija huku mama yake na dada yake wapo hoi
mbutamaseko said: Wewe ni mmoja wa team iliyopewa bando ili kurudisha hofu kwa watz juu ya uviko? Kama sio mmoja wao taja eneo au kijiji ambacho kina hiyo misiba 6. Tulioko moshi tuhakikishe. Sio vyema kushiriki kutia hofu wananchi Click to expand... Nachukia watu wabishi, nenda ilboru leo karibu na riadha lodge amefariki kaka mmija huku mama yake na dada yake wapo hoi