Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni ushauri tu si lazima uukubaliBwashee siasa siyo uadui!
Ndio maana Dr Slaa yuko CCM na Nyalandu yuko Chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushauri tu si lazima uukubaliBwashee siasa siyo uadui!
Ndio maana Dr Slaa yuko CCM na Nyalandu yuko Chadema!
Waulize mamlaka ya Hali ya hewa au hauna namba zaoKwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi.
Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani.
Ahsanteni in advance.
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante mkuu!Poleni sana wenye makazi nje ya mji.
Nawapongeza askari wa usalama barabarani.... Nakaribia kufika home!Waulize mamlaka ya Hali ya hewa au hauna namba zao
Ova
Hongera kuna mtu majuzi siku ya kwanza ya mvua ile alitoka ofisini sa 3 usiku na kufika mbweni alfajiri sa 11!!Nawapongeza askari wa usalama barabarani.... Nakaribia kufika home!
Nimejikuta 😹😹😹😹😹😹 karibuni sana mikoani kwa mnaotuita matumbiliHongera kuna mtu majuzi siku ya kwanza ya mvua ile alitoka ofisini sa 3 usiku na kufika mbweni alfajiri sa 11!!
Akitoka posta aje mpaka tazara bridge, apitilize mpaka Gongo la Mboto kwa yule mbunge limbukeni wa beer aliyehama kutoka huku kwetu. Then aende mpaka Kisarawe halafu aitafute Kibaha kwa mbunge wa fisiemu aunganishe mpaka Mapinga ndio arudi anakoishi.Mpigie chakubanga akupe updates.
Cha muhimu tafta majimbo yenye viongozi wa sisiem upitie njia hizo maana ukijiloga ukapita njia zenye majimbo yenye viongozi wa upinzani utakutana na mafuriko na miundombinu mibaya.
johnthebaptist itinerary yako hiiAkitoka posta aje mpaka tazara bridge, apitilize mpaka Gongo la Mboto kwa yule mbunge limbukeni wa beer aliyehama kutoka huku kwetu. Then aende mpaka Kisarawe halafu aitafute Kibaha kwa mbunge wa fisiemu aunganishe mpaka Mapinga ndio arudi anakoishi.
Dah mkuu tumeshajua unamiliki gari. Unaanza mbaaaaaliiii.Kwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi.
Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani.
Ahsanteni in advance.
Maendeleo hayana vyama!
Chakubanga ana orodhesha maflaiova wanayoplan kuyajenga..Dar nzima mpaka Kisemvule!😀Mpigie chakubanga akupe updates.
Cha muhimu tafta majimbo yenye viongozi wa sisiem upitie njia hizo maana ukijiloga ukapita njia zenye majimbo yenye viongozi wa upinzani utakutana na mafuriko na miundombinu mibaya.
Hahahaaaa...... CCM kumiliki gari ni swala la kawaida kabisa labda uzungumzie aina ya magari.Dah mkuu tumeshajua unamiliki gari. Unaanza mbaaaaaliiii.
Kamoooonn
Ni jambo la kawaida ndio Najua hilo sasa tunashangaa kwanini uanze mbaaaaaaliiiiiHahahaaaa...... CCM kumiliki gari ni swala la kawaida kabisa labda uzungumzie aina ya magari.
Umeona mgombea wa Kawe wa CCM!
Kesho watatuambia wskishinda huu uchaguzi weekend itaanza alhamisi na jumaatatu itakua nusu siku. Yaani tutaingia kazini saa tano baada ya hangover kuisha.Chakubanga ana orodhesha maflaiova wanayoplan kuyajenga..Dar nzima mpaka Kisemvule!😀
Everyday is Saturday............................... 😎