Hali ya Hatari yatangazwa Sri Lanka

Hali ya Hatari yatangazwa Sri Lanka

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ambaye anakaimu nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwa sasa baada ya Rais Gotabaya Rajapaksa kukimbia Nchi ametangaza Hali ya Hatari na muda wa Wananchi kutotoka nje

Inaripotiwa kuwa, mamia ya Waandamanaji wamezingira Ofisi yake Jijini Colombo. Polisi wamefyatua mabomu kadhaa ya machozi na helikopta ya Jeshi ilionekana kuzunguka eneo hilo. Hata hivyo, Waaandamaji wameonesha kutotishika

=======

Mahinda Yapa Abeywardene, the Speaker of Parliament, has told reporters that President Rajapaksa has informed him that prime minister Wickremesinghe “has been appointed to cover the duties of his post”.

The announcement comes after Wickremesinghe claimed to be acting president and imposed a nationwide state of emergency amid protests at his office

Prime Minister Ranil Wickremesinghe declared a state of emergency and a curfew with immediate effect as several hundred people demanding his resignation surrounded his office in Colombo. Police fired several rounds of tear gas and a military helicopter briefly circled overhead, but the protesters appeared undeterred

"The prime minister as acting president has declared a state of emergency (countrywide) and imposed a curfew in Western Province," Wickremesinghe's media secretary, Dinouk Colombage, told Reuters. Western Province includes Colombo
 
Back
Top Bottom