Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa Tumbili huyo aliyeruka na kuingia kwenye mfumo wa gridi ya umeme alisababisha umeme kukatika karibu eneo...
Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu.
Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini ..
kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla ya mwisho wa Februari, maafisa walisema Jumatano, baada ya kucheleweshwa kwa mwaka mmoja kwa sababu...
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo.
Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo
SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais.
Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa wagombea watatu wa Urais
Wananchi wengi wameonekana kutomuunga mkono Wickremesinghe ambaye awali...
Huo ndio Ukweli mchungu kuumeza, lakini usiokwepeka.
Sio ujasiri wala ushujaa kwa viongozi kutembea mkifurahia mikopo na kujipiga kifua mbele ya wananchi majukwaani,kama vile ni jambo la kheri na kishujaa kukopa kopa bila Dira ya kitaifa.
Mnapaswa pia kutoa elimu kwa wananchi, juu ya madhara...
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya.
Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya nchi hiyo inaelezwa kufanana na ile ya Sri Lanka.
Sri Lanka ni nchi iliyoelemewa na madeni na...
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Sri Lanka hadi Bunge litakapomchagua mrithi wa Gotabaya Rajapaksa, aliyeikimbia Nchi hiyo na kisha kujiuzulu kufuatia maandamano ya umma.
Maandamano hayo yalitokana na mallamiko kuhusu hali duni ya kimaisha Nchini...
Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe
Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa anatarajiwa kusafiri kutoka Maldives alikokimbilia kisha kuelekea Singapore anakotarajiwa kuwasili jioni ya leo Julai 14, 2022.
Vyanzo vya habari zimeeleza kuwa Rajapaksa alikuwa akitarajiwa kupanda ndege binafsi kwa ajili ya safari hiyo.
Upande wa pili...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ambaye anakaimu nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwa sasa baada ya Rais Gotabaya Rajapaksa kukimbia Nchi ametangaza Hali ya Hatari na muda wa Wananchi kutotoka nje
Inaripotiwa kuwa, mamia ya Waandamanaji wamezingira Ofisi yake Jijini Colombo. Polisi...
Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema.
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
Basil Rajapaksa ambaye pia ana Uraia wa Marekani amezuiwa na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji kuondoka nje ya Sri Lanka. Bado haijafahamika alikuwa anaelekea wapi
Rajapaksa alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Fedha Aprili 2022 baada ya maandamano kushika kasi kutokana na uhaba wa mafuta, chakula na...
Salaam wakuu,
Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru...
Rais wa Sri Lanka ambaye anatarajiwa kukabidhi madaraka Julai 13, 2022, Gotabaya Rajapaksa inadaiwa alipelekwa katika kambi ya jeshi la wanaanga karibu na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa.
Hayo yameelezwa na maafisa nchini humo wakati zikiongezeka fununu kwamba ataikimbia nchi na kwenda...
Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni.
Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka...
Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu Julai 13, 2022.
Rais Rajapaksa hajaonekana na hakutoa kauli ya kujiuzulu mwenyewe moja kwa moja...
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.