Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo.
Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani...
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika
Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu
Inaripotiwa kuwa...
Waziri wa Nishati, Kanchana Wijesekera amesema Taifa hilo lina Petroli ya kutosha siku isiyozidi moja kwa mahitaji ya kawaida. Wiki iliyopita, Taifa hilo linalokabiliwa na mdororo mbaya wa kiuchumi lilisitisha mauzo ya Petroli na Dizeli kwa baadhi ya Magari
Kwa Mujibu wa Waziri huyo, Tani...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula.
Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea
Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala.
Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ametangaza kujiuzulu Ubunge akisema kuanzia sasa hataki kujihusisha na shughuli zozote za Serikali
Basil Rajapaksa ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Fedha anakuwa ndugu wa pili wa Rais kujiuzulu kufuatia mdororo wa kiuchumi ambao ulisababisha vurugu na...
Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo.
Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo
Watoto na...
Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa
Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru.
-
Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya...
Vyama vya wafanyakazi Nchini humo vimefanya mgomo vikitaka Rais Gotabaya Rajapaksa pamoja na Serikali kujiuzulu. Mgomo huo umesababisha Shule na Biashara kufungwa, pia umeathiri usafiri
Mgomo huo umefanyika wakati maelfu ya wananchi wakiendelea kuandamana kwa siku ya 20 wakitaka Rais Rajapaksa...
Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema.
Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa
Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
A Kenyan firm has secured a deal to supply two million locally-made Covid-19 syringes to Sri Lanka, boosting the local manufacturing industry’s efforts to tap into foreign markets.
Sri Lank High Commissioner to Kenya Kana Kananathan told Business Daily that the Mombasa-based Revital Healthcare...
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.