National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
😊😊😊 kwaiyo lini sasa...🤣🤣🤣🤣🤣Baby ake nani?anipandisha midadi,anitafuta lawamaaa!
Tujiandae na viwalo na vi pesa vya kula mishikaki na mihogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊😊 kwaiyo lini sasa...🤣🤣🤣🤣🤣Baby ake nani?anipandisha midadi,anitafuta lawamaaa!
Haya mambo yananogaga mwisho wa mwezi😂😂😂😊😊😊 kwaiyo lini sasa...
Tujiandae na viwalo na vi pesa vya kula mishikaki na mihogo
😅😅😅 mwisho wa mwezi ni for junior... sie tumekomaaa hatuendeshwi na mwisho wa mwezi.. jianda hata mwisho wa wiki basiHaya mambo yananogaga mwisho wa mwezi😂😂😂
😥😥😥😥Sawa senior😅😅😅 mwisho wa mwezi ni for junior... sie tumekomaaa hatuendeshwi na mwisho wa mwezi.. jianda hata mwisho wa wiki basi
😅😅😅😅... matured kila siku ni mwisho wa mwezi.. nakusikiliza ratiba zako sasa..😥😥😥😥Sawa senior
Tulia Sasa nizipange,,,😅😅😅😅... matured kila siku ni mwisho wa mwezi.. nakusikiliza ratiba zako sasa..
Tulia Sasa nizipange,,,
HahahaJamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mimi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
MmhTulia Sasa nizipange,,,
HahahaWatu wa dar bwana, hili suala nalo ni la kulaumu TMA? Mnataka kila muda mpewe uangalizi kama vifaranga vya bata vyenye masundosundo