Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kama ni mfanyabiashara unaweza ukaiona fursa na kuwasogezea karibu zaidi maeneo hayo. Hata wakati ving'amuzi vya azam na startimes vinaanza kuingia watu walisema watakula hasara kwa sababu uwezo wa wananchi ni mdogo kwaiyo watabaki kule kuke kwenye antena lakini sasa hivi tunaona karibu kila nyumba ina king'amuzi. The same to majiko ya gesi. Watu walisema wananchi hawana hela watabaki kwenye majiko ya mkaa, lakini tunaona biashara ya gesi inazidi kushamiriMbona air conditions zenye mfumo wa kutoa hewa ya joto mbona zipo tayari? Sema shida ni fedha ya kununulia hizo zilizopo tayari.
Kumbe ni suala la muda tu. Kongole mkuu. Uko positive sana bro.Kama ni mfanyabiashara unaweza ukaiona fursa na kuwasogezea karibu zaidi maeneo hayo. Hata wakati ving'amuzi vya azam na startimes vinaanza kuingia watu walisema watakula hasara kwa sababu uwezo wa wananchi ni mdogo kwaiyo watabaki kule kuke kwenye antena lakini sasa hivi tunaona karibu kila nyumba ina king'amuzi. The same to majiko ya gesi. Watu walisema wananchi hawana hela watabaki kwenye majiko ya mkaa, lakini tunaona biashara ya gesi inazidi kushamiri
Kuworye ghala ready made hala ko mkom'lya.Nacho emhaayaa
Na loiKuworye ghala ready made hala ko mkom'lya.
Hata nduoni leo jion pana balaaaHiyo inaitwa "Imbulimbuli" (au Fog. kwa lugha ya Malkia) Kichaga cha KV.
Wenye magari watajua umuhimu na maana ya zile taa (head lights) za njano. ( Hapa Kiteto Manyara leo 25/06/2026 saa saba kaso dk 12, joto ni 22deg. Celcius na mara kadhaa jioni joto hushuka hadi nyuzi 19 centigrade)
Leo nafuu kumekuwa na kajua lakini siku zilizopita ilikuwa ngoma droo na Marangu.Hiyo inaitwa "Imbulimbuli" (au Fog. kwa lugha ya Malkia) Kichaga cha KV.
Wenye magari watajua umuhimu na maana ya zile taa (head lights) za njano. ( Hapa Kiteto Manyara leo 25/06/2026 saa saba kaso dk 12, joto ni 22deg. Celcius na mara kadhaa jioni joto hushuka hadi nyuzi 19 centigrade)
Om'manya mcho meeku o mfongo!Na loi
Sio baridi la kufananisha na huko ila huwashi feni kama maeneo yenye mbanano wa makazi.Kama wapi mkuu Dar kuna baridi la kufananisha na mikoa ya ndanda za juu kusini au Kaskazini?
Gongo...??Mkuu tafuta kale keupe unywe,utakaa sawa tu.
Masaa ya kukaa na Azuma karibu haya 🤣Mimi nilikanyaga huko mwaka jana, nikasema sirudii tena, niliugua pneumonia
London weather ☁️ ☁️.Balaa kubwa hili,View attachment 3615397
Yanini ujitese rafiki na huku kuna mikoa mingine ukienda unapata hali ya hewa nzuri. Mimi kamwe siwezi, sijui Arusha, moshi, nooMasaa ya kukaa na Azuma karibu haya 🤣
Ukisikia tu huelewi kifua unawahi
Baridi ya uhakika.Balaa kubwa hili,View attachment 3615397
Maisha yangu ya Miaka 8.Balaa kubwa hili,View attachment 3615397
Nipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀