hali ya hewa mbaya

hali ya hewa mbaya

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe aliyekuwa usingizini; "Yaani hali ya hewa huko nje mbaya sana" Mke: Si ndio nimemshangaa huyu mpumbavu eti kaenda kazini…
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh!! Hapohapo namtwanga makonde ya uhakika mpaka amtaje huyo anayemkaribisha ninapoenda kazini[emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom