Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Thread kama hizi enzi ya mwaka jana hazikuwepo.
Mnatengeneza mazingira ya kuikwamisha makao makuu, ili mrudi dar naona.
 
Mkuu Mr Mtui hii Hali unliiona na kukushirikisha Dodoma Ni ya mwaka huu TU sijawahi Iona Wala kukutana nayo nipo Dodoma kwa zaidi ya miaka 30. Vumilia Ni ya kupitabtu mkuu
 
Hata Wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara tunatembea tumekunja ndita upepo mkali, baridi kali, vumbi la kutosha tinapauka sana jaman!!! Hauwezi kuitreat ngozi yako ikakaa vizuri sipendi mazingira yasiyotulia kama haya!! Muda wote makoti kama tunaendesha pikipiki
 
Hama
 
Dodoma kweli hali ya hewa mbaya. Nakumbuka miaka hiyo ukienda mjini unatembea na maji na mafuta kwenye bag incase vumbi limezidi miguuni au umepauka.
 
Mwambie huyo.. ni demu wangu wa Dodoma anayo Tamu balaa.. sasa ananzaje kukandia tena jamani?

Sema kanaomba hela hako.. hakana kona yani utasikia Tu naomba hela ukiuliza ya nini hakana jibu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Demu wako hajakomaa na kuwa na ngozi ka ya kenge? Mi Dodoma palinishinda. Ni mwendo wa vumbi na upepo.maisha gani hayo!
 
Dodoma kweli hali ya hewa mbaya. Nakumbuka miaka hiyo ukienda mjini unatembea na maji na mafuta kwenye bag incase vumbi limezidi miguuni au umepauka.
Unakuta mtoto mzuri kama wewe umepauka miguu ngozi imechanika kwa ukavu uzuri wote unapotea
 
Hanang sijawahi fika, unajua bora kuwe na baridi kuliko vumbi na upepo hata kama unavaa koti kwa baridi sio mbaya. Sasa kuwe na upepo afu hewa isiwe na unyevunyevu inakuwa hatari na nusu. Vumulieni wakuu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…