Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salam,
Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya
Na hii ni kwenye mitandao yote, unataka kununua umeme unaambiwa mtandao unasumbua, una ka intavyuu ka mtandaoni siku hiyo internet hakuna, wakati mwingine huwezi kutumia baadhi ya sites mpaka utumie VPN.
Wakati huu ambao mambo mengi yanaishia kufanyika mtandaoni inakuwa kero na vitu vinakwamba.
Voda waliahidi huduma zao kurejea vizuri katikati ya November, mmeona mabadiliko yote? Juzi tu hapa Mpesa iligoma siku nzima, imagine ndio una dharura!
Vipi upande wako, hali ikoje?

tena kwa usiku internet inasumbuwa kinomaa. Na makampuni kama Vodacom sababu kila siku zilezile za kijinga 