Bora anyongwe tu kijulikane kuliko kumtesa mtoto wa watu....
Tuungane kumuombea kijana mwenzetu hukumu yake yKunyongwa iwahishwe apumzke tu 😡
Pole yake ukianzia uzuri tu She got gwaan.
Tabia heshima nayo tu she got gwaan
mwaka huu kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223. Mara ya pili ilikuwa Mei 23, mwaka huu
Nje ya mada lakini Kate 57 ambazo ni kilo 1.1, ina maana kete moja ni zaid ya gram 19.2, hilo kete kwa heroin ni volume kubwa sana kumeza. ingekuwa Cocain afadhali kutokana na density yake inakuwa afadhali in volume size. if you know what i mean.
Nina masha na uzito uliotajwa
Mpaka kwa wauza ungaaa nabak tu kusema she got a gwaan
Mkuu inaelekea una uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara ya nafaka aina ya Sembe za kimataifa!!!!
Nje ya mada lakini Kate 57 ambazo ni kilo 1.1, ina maana kete moja ni zaid ya gram 19.2, hilo kete kwa heroin ni volume kubwa sana kumeza. ingekuwa Cocain afadhali kutokana na density yake inakuwa afadhali in volume size. if you know what i mean.
Nina masha na uzito uliotajwa
Tabia heshima nayo tu she got gwaan
Bora anyongwe tu kijulikane kuliko kumtesa mtoto wa watu....
Tuungane kumuombea kijana mwenzetu hukumu yake yKunyongwa iwahishwe apumzke tu 😡
Aaaah aa we ni mshenz sijawah kuona aiseeh
Anyongwe tu, mtu ukiwa na nduguyo teja utaniunga mkono ninalolisema.Askari jela ahakikishe akinyongwa kimba litoke kabisa.
Na akome si ana pesa kumbe zilikua za kuvaa nguo na high heels sasa hiv mmewe anakula bata tu