Hali ya Jack gerezani Macau siyo nzuri

Hali ya Jack gerezani Macau siyo nzuri

Napenda anyongwe na multi yake iletwe bongo bila kichwa na akaagwe pale klabu ya viongoz wengne wakome kabisa
 
Sheria za Macau ziko tofauti na China mainland! Atakula mvua nyingi, kisha atarudi kimya kimya, na hakuna option ya ku-pause usichana wake ili akitoka aendelee alipoishia, akijakutoka atakuwa scraper.
 
jackP.jpg
 
mwaka huu kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223. Mara ya pili ilikuwa Mei 23, mwaka huu

Nje ya mada lakini Kate 57 ambazo ni kilo 1.1, ina maana kete moja ni zaid ya gram 19.2, hilo kete kwa heroin ni volume kubwa sana kumeza. ingekuwa Cocain afadhali kutokana na density yake inakuwa afadhali in volume size. if you know what i mean.

Nina mashaka na uzito uliotajwa
 
Nje ya mada lakini Kate 57 ambazo ni kilo 1.1, ina maana kete moja ni zaid ya gram 19.2, hilo kete kwa heroin ni volume kubwa sana kumeza. ingekuwa Cocain afadhali kutokana na density yake inakuwa afadhali in volume size. if you know what i mean.

Nina masha na uzito uliotajwa

Mkuu inaelekea una uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara ya nafaka aina ya Sembe za kimataifa!!!!
 
Mkuu inaelekea una uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara ya nafaka aina ya Sembe za kimataifa!!!!

There is thin line kati ya wasafirishaji na Narcotic police officers. wote wanajua mzigo unavyokuwa. usiangukie katika negative side tu. Inaweza kuwa upande wa pili pia
 
Nje ya mada lakini Kate 57 ambazo ni kilo 1.1, ina maana kete moja ni zaid ya gram 19.2, hilo kete kwa heroin ni volume kubwa sana kumeza. ingekuwa Cocain afadhali kutokana na density yake inakuwa afadhali in volume size. if you know what i mean.

Nina masha na uzito uliotajwa

Ehee mwenzangu angalia maana unaonekana unafahamu haya mambo.
 
Na akome si ana pesa kumbe zilikua za kuvaa nguo na high heels sasa hiv mmewe anakula bata tu
 
Anyongwe tu, mtu ukiwa na nduguyo teja utaniunga mkono ninalolisema.Askari jela ahakikishe akinyongwa kimba litoke kabisa.
 
Back
Top Bottom