Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononiโฆ.
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.
Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letuโฆ
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtuโฆ
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hiloโฆ
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leoโฆnitafanyaje?
Najiskia vibaya sanaโฆ.maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwaโฆkwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sanaโฆ. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku