Hali ya kichefu chefu kwa mjamzito

Hali ya kichefu chefu kwa mjamzito

Miezi mitatu ya kwanza body ina dictate foreign body hivyo immune system ina react na anacholula mara nyingi anatapika. Baada ya first trimester kila kitu kinarudi kuwa sawa.
 
Trimister ni ile miezi mitatu ya mwanzo,ila hiyo ina mambo mawili inaanza kuisha kwenye wk20 na wengine huwa mpaka miezi 9 so kuwa mvumilivu kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom