Hali ya kuhisi hewa inataka kutokea kupitia masikio pindi unapopumua

Hali ya kuhisi hewa inataka kutokea kupitia masikio pindi unapopumua

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Habari zenu wakongwe..!?
Kuna hii hali ambayo huwa inanitokea mara kwa mara,yaani huwa inanikera ile mbaya..!
Yaani kuna wakati nikiwa napumua huwa nahisi hewa inataka kupitia kwenye masikio,yaani ni kama vile nasikia upumuaji wangu kupitia masikio..!
Mara nyingi huwa nahisi hii hali kama nimetembea mwendo mrefu,ila kuna wakati inakuja ghafla tu..!
Hii ni nini maana yake,ni tatizo la kiafya..?
Wataalamu naomba mnisaidie kupata majibu katika hili,maana hii hali ikitokea huwa inanikera sana..!
 
Sasahivi hakuna kubemberezana ni kuambiana ukweli.. NI HIVI HIZO NI DALILI KUU ZA UKIMWI ULIOANZA KUDHOOFISHA MWILI WAKO
 
Sasahivi hakuna kubemberezana ni kuambiana ukweli.. NI HIVI HIZO NI DALILI KUU ZA UKIMWI ULIOANZA KUDHOOFISHA MWILI WAKO
Asante kwa kunijulisha Kiongozi..!
Ngoja nianze kutumia ARV haraka..!!!
 
Back
Top Bottom