Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

Hali ya kumzoea mume/ mke wako na kumuona kama ndugu yako ina suluhisho?

Habari za jioni wakuu wa baraza, nina swali kwenu, hasa wale wanaoishi na wenza wao au wapenzi. Mwanzoni, penzi likiwa jipya unaweza hata kufanya mapenzi mara mbili kwa siku au kila siku.

Ila kadri muda unavyozidi kwenda, unamzoea mwenzako kiasi kwamba hata wiki inaweza kupita hamjafanya kitu, na unakuta hamjagombana, mko vizuri kabisa, mnakula vizuri, ila tu ile hamu inashuka sana.

Sasa nauliza kama kuna suluhisho lolote la kufanya ili umuone mpenzi wako kama mpya hata kama mkipumzika, basi zisizidi siku mbili. Mbona punyeto unaweza kufanya kila siku, kwanini isiwe kwa mke, tena unakuta mrembo haswa?

Na mkisema kwamba usile kila siku dagaa, badilisha kidogo leo maharage, itakuwa ni kuunga mkono umalaya.
Michepuko inakusumbua wewe huna jipya.
 
Mkuu Simara kubishana kwa hoja na RUSTEM PASHA pasipo kumkumbusha tofauti ya vocation na vacation ni kumkosea heshima.

Mtake radhi 😊
Vacation na vocation ni maneno ya kingereza yenye maana tofauti, sema automatic keyboard ndio zinasababisha vitu kama hizo. Hay mkuu endeleen kwenda VACATION.
 
That is psychological issue between mind and emotions.

Kikubwa hapo jaribu kuendesha AKILI na HISIA vizuri maana unaweza muona mke wako kuwa she has nothing to offer na mwisho utaanza michipuko .


Mpende mkeo
Be authentic
Give her ur attention

Then Kama mke wako ni Mama wa nyumbani jaribu hapo hapo nyumbani kumtengenezea mazingira ya yeye Kuwa na shughuli zake binafsi zitakazo muweka busy


Muda mwingine ukaribu Sana na MTU hupelekea kuchokana so kupeana nafasi , kuwa busy n.k inaleta hali Fulani ya kumisiana


Don't fall into the trap

Na wengine wenye uwezo huwa wanatoka kidogo na kwenda eneo tofauti na nyumbani


Ila kikubwa try to control ur mind and emotions maana
 
Binafsi naipenda sana hiyo hali ya kuzoeana hivyo,hapo mnaongozwa zaidi na nguvu za upendo,huruma,na uvumilivu kuliko tamaa za kimwili
Mwanzoni nilipata tabu sana kuelewa hii situation lakini nilikuja elewa baada ya kuona upendo halisi katika kipindi hiki,imagine mwanaume anakupa kila unachodemand tena kwa wakati halafu hategemei nipe nikupe what a wonderful situation!Anakutoa out,anakupa hela ya saloon,anakuchek kila mara,akurudi home yuko na mood nzuri,tukilala ananikumbatia kwa upendo aaah hapo nataka nini tena?anipumzishe tu
 
Back
Top Bottom