Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
MaruerueNdio nini hiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaruerueNdio nini hiko?
Si muda mrefu mambo yatakuwa wazi kwako. Hapana kimbia.Pole sana.
Huo umri wewe mzee. Kama umeshazeeka ukiamini ushirikina, hakuna mtu anaweza kukuelekeza tofauti.
Ninasikitika sana maana utaenda kuondoka duniani ukiamini vitu ambavyo havipo, pole sana.
NI kweli mizimu ipo, ambayo maana ya mizimu ni majini yaliyovaa sura za marehemu yaliyoigiza au kuvaa sura za marehemu ,yakiwadanganya watu kuwa yamepewa maagizo na marehemu au yakijinasabisha na marehemu ilibyapate kuaminika na ndugu na jamaa wa marehemu kwa lengo la kuwatawala na kuwatumikisha wana ukoo.Na kuna makabila mengi yanatawaliwa na ibada za mizimu ikiwemo kabila moja ambalo ni maarufu kila mwisho wa mwaka kwenda kutambikia mizimu ya kwao .Mizimu ipo na nguvu yao ipo. Jiulize kwanini wazungu walirudisha jino la chief Mkwawa miaka ya juzi tu hapa! Ni bàada ya kuandamwa na mzimu wake kwa muda mrefu. Stori hii ipo TBC ikisimuliwa na kitukuu wa Mkwawa mwenyewe